KWA SIMBA HII MTAFURAHI WENYEWE
HUKU wakiwa kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kupata ushindi wa mechi mbili walizocheza, Uongozi wa Simba umesema wanakiamini kikosi walichonacho kitapambana…
HUKU wakiwa kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kupata ushindi wa mechi mbili walizocheza, Uongozi wa Simba umesema wanakiamini kikosi walichonacho kitapambana…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli, amesema amefurahia kufunga bao la kwanza la msimu kwa timu yake pamoja na kufikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Wakongomani…
Kuna vitu vimeanza kubadilika katika maisha ya mshambuliaji wa Simba, Valentino Mashaka tofauti na msimu uliopita alipokuwa anaishi akiwa Geita Gold. Mashaka anasema tangu ajiunge…
MCHEZO WA KIRAFIKI,Β kati ya Simba SC na Al Hilal imemalizika kwa timu zote kutoshana nguvu ya bao 1-1. Simba ilitangulia kufunga goliΒ kupitia kwa…
MLINDA Mlango wa Simba Aishi Salim Manula yupo kwenye kiwango bora kwenye mchezo huu dhidi ya Al Hilal na amekuwa na utulivu pale timu inapoanza…
WENGI Walikuwa wanasubiri kumuona mshambuliaji mpya wa Simba Christian Leonel Ateba aliyesajiliwa dakika za jioni kabisa, kabla ya dirisha kubwa la usajili kufungwa. Katika dimba…
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars‘, Hemed Suleimani ‘Morocco’ amesema, kikosi hicho kiko kamili kwa ajili ya michezo miwili ya…
LICHA ya kuanza vyema kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuvuna pointi tatu muhimu dhidi ya wenyeji Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga,…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika klabu ya Simba inaikaribisha klabu ya Al Hilal ya Sudan katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa…
Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo.…