SIMBA KUSHUKA DIMBANI LEO…KUFUZU CAF
Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo…
Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji ushindi mkubwa dhidi ya Vital’O ili kutuma salamu kwa…
BAADA ya kukaa jukwaani katika mchezo uliopita dhidi ya Simba, Aliyekuwa nyota wa zamani wa Yanga na sasa Tabora United, Yacouba Songne amesema alikuwa na…
Hatma ya ukubwa wa jeraha la kiungo mshambuliaji wa Simba, Joshua Mutale kujulikana kesho baada ya kufanyiwa vipimo vya awali vya madaktari. Joshua alipata jeraha…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa kuilipa…
LICHA ya Prince Dube kuendeleza makali yake ya kucheka na nyavu za wapinzani, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amempa sharti ambalo anaamini kama…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuwa wawe na subira kidogo, kwani kikosi chake kinaelekea kwenye ubora anaouhitaji,…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa taratibu nyota wao wanazidi kuimarika kutokana na maandalizi mazuri ambayo wanayafanya chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba mchezo wa…
Mchambuzi wa michezo wa Crown Media Hans Raphael amemuelezea kiungo mpya wa Simba Jean Charles Ahoua, juu ya uwezo wake uwanjani. “Mdogo wangu Jini Charles…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa taratibu nyota wao wanazidi kuimarika kutokana na maandalizi mazuri ambayo wanayafanya chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba mchezo wa…