Latest Posts

HABARI ZA SIMBA-AWESU

AWESU AWESU NA MASHAKA BALAA JINGINE SIMBA

MABAO mawili ya wachezaji wapya, Valentino Mashaka na Awesu Awesu, pamoja na lingine lililofungwa na Fondoh Che Malone, yaliiwezesha Simba jana kupata ushindi wa mabao…

habari za yanga-gamondi

GAMONDI…HATURIDHIKI NA MATOKEO MADOGO…

Yanga ilipata ushindi MNONO wa mabao 0-4 kwenye Uwanja wa Azam Complex, ambao Vital’O iliutumia kama wa nyumbani, ikishuhudiwa Prince Dube, Clatous Chama, Clement Mzize…

HABARI ZA SIMBA- AISHA MNUNKA

SIMBA KUMPELEKA KAMATI YA NIDHAMU MNUNKA

MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya amesema viongozi wa timu hiyo iliyopo Ethiopia kushiriki fainali za michuano ya Klabu Bingwa kwa Afrika Mashariki na Kati…

HABARI ZA YANGA

KOCHA VITAL’O AIONYA YANGA LEO

Kocha Mkuu wa Vitalo FC Sahabo Parris amesema klabu yake imejiandaa vilivyo kupambana na Yanga SC katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. Katika mkutano na…