Latest Posts

SIMON MSUVA AMKARIBISHA SAID JR IRAQ

MTANZANIA, Said Khamis ‘Said Jr’ ambaye ni kiungo mshambuliaji amepata shavu la kusajiliwa Peshmarga Sulaymaniya SC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Iraq akiungana na…

HABARI ZA SIMBA NA YANGA

VITA YA SIMBA NA YANGA IMEANZA UPYAA

LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa zikipishana.…