RAIS SAMIA AWASHAUI SIMBA HAYA…TUGANGE YAJAYO…
RAIS wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikisha kuandaa tamasha la Simba Day, Jana Agosti 3. Tamasha hilo ni la…
RAIS wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikisha kuandaa tamasha la Simba Day, Jana Agosti 3. Tamasha hilo ni la…
MASHABIKI wa Simba, akiwemo mdau mkubwa wa timu hiyo Mohammed Soloka amesema mwitikio mkubwa wa mashabiki wa timu hiyo kujaza Uwanja wa Mkapa ni kielelezo…
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ashi Manula ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2024/25 baada ya timu hiyo kutambulisha makipa…
ALIYEKUWA CEO wa Simba, Imani Kajula ameagwa rasmi jana kwenye kilele cha tamasha la Simba Day linalofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kajula alijiunga na Simba…
BAADA ya kutwaa tuzo nne za msimu uliopita, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki amesema anajisikia kubarikiwa huku akimtaja kocha wa timu hiyo, Miguel…
Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao waliibuka…
KITENDO cha jina la kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kutokuwa kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa katika kikosi bora cha msimu uliopita wa 2023/24 kimewaibua wadau…
Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmedy Ally amethibitisha kuwa Kibu Denis amerejea kikosini na amezungumza na kumalizana na Kocha Fadlu Davids, hivyo mambo…
WAKATI Simba Queens ikiwa kambini Bunju jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa…
MNYAMA Simba imemtambulisha Mlinda malngo wa mpya, Moussa Pinpin Camara ‘Spider’ kwa mkataba wa miaka miwili akitokea AC Horoya ya Guinea. Moussa Camara ni maarufu…