CLEMENT MZIZE AWAJIBU WANAOMPONDA…NAUMIA KUKOSA NAFASI
BAADA ya Maneno kuwa mengi sana Mtandaoni kuhusu Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize kutotumia nafasi anazopata. Mchezaji huyo amefunguka kwa kuwanyamazisha mashabiki. Mzize amekuwepo Yanga…
BAADA ya Maneno kuwa mengi sana Mtandaoni kuhusu Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize kutotumia nafasi anazopata. Mchezaji huyo amefunguka kwa kuwanyamazisha mashabiki. Mzize amekuwepo Yanga…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ni mapema, lakini amefurahishwa na pacha iliyotengenezwa na Prince Dube wakishirikiana na Clement Mzize akiwataja kuwa wanamuofa vitu…
BAADA ya Maxi Nzengeli kukiwasha sana Sauzi Mabosi wa Yanga wameshtukia jambo na kumuita mezani kuanza mazungumzo mapya ya mkataba mpya. Nzengeli atakapoanza msimu ujao…
AZIZ Ki na Feisal Salum “Fei Toto” vita yao kwenye rekodi ilikuwa ngoma nzito kutokana na kila mmoja kupambana kufikia malengo yao kwa msimu wa…
KUELEKEA Agosti 3 Katika Tamasha kubwa la Michezo Afrika la Simba Day uongozi wa Simba umebainisha kuwa mashabiki wamefanya jambo kubwa ambalo linastahili pongezi kwa…
SIKU ya Simba Day ya UBAYA UBWELA itakuwa Uwanja wa Mkapa kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda kitaumana kwa…
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC ambaye amewahi kucheza Yanga na akahitajika Simba, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema alikuwa na wakati mzuri na kocha wa Wydad…
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally Amezungumzia sakata la msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila kuhusu kutumbuiza katika Tamasha la Simba Day. Ahmed…
BAADA ya SOLD OUT ya Simba Day Klabu hiyo sasa imetoa sharti gumu kwa mchezaji wake Kibu Denis na Kristiansund BK inayomhitaji ili imruhusu mshambuliaji…
KOCHA Mkuu wa Red Arrows ya Zambia, Chisi Mbewe amesema, baada ya kupata mualiko wa kucheza na Yanga katika kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’, imekuwa…