SIMBA WAMESHINDA NJE YA UWANJA….SIMBA DAY KUNOGA
Kitendo cha Klabu ya Simba SC kuificha timu yao iwe kwa makusudi au bahati mbaya ya mazingira kimewasaidia kutengeneza hamu ya mashabiki wake na hata…
Kitendo cha Klabu ya Simba SC kuificha timu yao iwe kwa makusudi au bahati mbaya ya mazingira kimewasaidia kutengeneza hamu ya mashabiki wake na hata…
MICHUANO YA CAFCL hatua ya makundi Al Ahly Mapharao wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao mengi…
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa kuonesha…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amedai lengo la kucheza mechi za kirafiki za ndani ni kuficha kikosi chake kwa lengo kutaka kuona muunganiko wa…
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube ameweka wazi kuwa kucheza timu moja na wachezaji wenye uwezo ikiwa ni Clatous Chama, Aziz Ki kunamuongezea hali ya…
MCHAMBUZI NGULI wa Michezo Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia…
WACHEZAJI Wapya wa Simba Joshua Mutale winga na Steve Mukwala Mshambuliaji wamefunguka kuelezea namna ambavyo kambi ya timu hiyo ilivyokuwa huko Ismailia Misri. Akizungumzia kikosi…
SIMBA imekamilisha βPre-seasonβ Misri baada ya kuwa huko kwa wiki tatu na leo Jumatano imerejea Dar kumalizia maandalizi ya mwisho kabla ya Simba Day Jumamosi…
Dili la Winga wa Simba Kibu Denis na timu ya ligi kuu ya Norway, Kristiansund BK, limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee nchini…
Kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma (28) atakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili hadi tatu baada ya kupata majeraha akiwa kambini Ismailia, Misri. Kagoma…