SIMBA NA COASTAL WAKUTANA KUYAMALIZA YA LAMECK LAWI
UONGOZI wa Mnyama Simba na Wagosi wa Kaya, Wana Mangoshi Coastal Union wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza kuhusu sakata la usajili…
UONGOZI wa Mnyama Simba na Wagosi wa Kaya, Wana Mangoshi Coastal Union wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza kuhusu sakata la usajili…
UTAMU wa Ligi kuu ya NBC unazidi kuongeza na sasa ni miongoni mwa Ligi 6 bora za Afrika, hali hii inawafanya wachezaji wengi kukimbilia kucheza…
KLABU ya Simba Queens, inatarajia kuanza kampeni yao Ligi ya Mabingwa Afrika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa kuanza kucheza na klabu ya FAD…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Prince Dube wameahidi kutoa uwezo wao wote kuisaidia timu hiyo kutetea ubingwa…
MABOSI wa Mnyama kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund BK…
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kupewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa zikufikie nyota…
SABABU ya jezi za Simba kuandikwa neno Sanda zimeelezwa,wahusika wamewatoa hofu waliozitafsiri vinginevyo, kutambua kwamba ni ubunifu walioamua kuja nao msimu ujao. Alipotafutwa Yusuph Yenga,…
SIKU chache baada ya taarifa ya Mlinda Mlango namba moja wa klabu ya Simba, Ayoub Lakred kuripotiwa kuumia na kutarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa…
BAADA ya Winga mtorokaji Kibu Denis kumkana Mwanasheria wake Rashid Yazid kwa kusema hamtambui, ila anayemtambua ni Meneja wake Carlos MasterMind. Sasa kuna habari mpya…
MABINGWA Mara 30 wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 Yanga wapo tayari kuwakabili Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Toyota Cup.…