MSIMAMIZI WA KIBU DENIS…AFUNGUKA KUTOROSHWA KWA MCHEZAJI WAKE
Msimamizi na Mwanasheria wa Mchezaji Kibu Dennis, Rashid Yazidu wa Kampuni ya Football Fraternity amefunguka mapya juu ya sakata la mshambuliaji huyo wa Simba Sc…
Msimamizi na Mwanasheria wa Mchezaji Kibu Dennis, Rashid Yazidu wa Kampuni ya Football Fraternity amefunguka mapya juu ya sakata la mshambuliaji huyo wa Simba Sc…
BAADA YA Dili la Kuinasa saini ya Winga wa AS Vita Ellie Mpanzu kugonga mwamba katika mita ya Msimbazi, Wakalawa mchezaji huyo Raia wa DR…
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali na Msanii Mkubwa Afrika Ali Kiba walikutana kwenye uzinduzi wa Simba Day Morogoro, ambapo safari ya kwenda Hifadhi…
Klabu ya Coastal Union imesema inausubiri Uongozi wa Simba wakae meza moja kulimaliza pembeni sakata la usajili wa beki Lameck Lawi ambaye shauri lake lilikuwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi, amesema mchezaji wake Prince Dube hayupo kwenye kiwango bora, ikiwamo kutokuwa na utimamu kwa mwili kutokana na kutocheza soka…
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, akionekana kufurahishwa na ushindi ambao timu yake iliupata juzi dhidi ya El Qanah, lakini akisema bado anahitaji muda…
MASHABIKI wa Mnyama Simba SC wamejitokeza kwa wingi huku wakivalia jezi zao katika safari ya kwenda Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro kwa ajili ya uzinduzi…
BAADA ya taarifa kusambaa kuhusu kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amekimbilia Norway, uongozi wa klabu hiyo umesema utamchukulia hatua za kinidhamu ikidai ni mtoro.…
IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri, Meneja na Msimamizi wa nyota huyo, Carlos Mastermind amesema nyota na hadai…
Klabu ya Simba imefunguka kuhusu wachezaji wao wawili, kipa Aishi Manula pamoja na beki wa pembeni, Israel Patrick Mwenda kutofika kambini nchini Misri mpaka sasa…