SAKATA LA YANGA LAMFIKIA WAZIRI NDUMBARO…ATETA JAMBO NA INJINIA HERSI.
Baada ya mabosi wa Yanga kutoa tamko juu ya hukumu ya kesi iliyofunguliwa na wanachama wa klabu hiyo kulikataa Baraza la Wadhamini na kuweka rehani…
Baada ya mabosi wa Yanga kutoa tamko juu ya hukumu ya kesi iliyofunguliwa na wanachama wa klabu hiyo kulikataa Baraza la Wadhamini na kuweka rehani…
DILI la Winga wa Kimataifa wa DR Congo Elie Mpanzu kujiunga na Simba kwa msimu ujao 2024/25 limeota mbawa rasmi kutokana na ugumu uliowekwa kutoka…
WAKATI Willy Onana na nyota mpya aliyetambulishwa hivi karibuni, Awesu Awesu jana walipaa kwenda kuongeza mzuka katika kambi ya Simba iliyopo, Ismailia Misri, nyota wa…
Kumekuwa na maswali mengi juu ya kushindwa kutambulishwa kwa Jean Baleke licha ya straika huyo wa zamani wa Simba kuonekana mazoezini na kuwa kwenye msafara…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri kusikia kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa soka hasa wale wa Msimbazi wakiponda usajili uliofanywa na klabu…
Mshambuliaji wa Yanga SC, Prince Dube amesema kuwa anafurahia kusajiliwa na Klabu hiyo kwani ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu kucheza soka kwenye klabu kubwa…
FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za ushindani…
WACHEZAJI wawili walioondoka Simba katika dirisha hili la usajili, wamekula maisha huko Algeria baada ya kujiunga na JS Kabylie inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo timu…
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Simba SC Jean Baleke ambaye ameonekana kwa nyakati tofauti na Yanga, amezua maswali mengi na ukosaoji mwingi kutoka kwa wadau wa soka…
Dabi ya Kariakoo ya kwanza Simba na Yanga kwa msimu mpya sasa imefahamika itapigwa Kwa Mkapa siku ya Agosti 8, ikiwa ni mechi ya Ngao…