YANGA WAONDOKA KUIFUATA FS AUGSBURG YA BUNDASLIGA…BALEKE AONEKANA KWENYE MSAFARA WA YANGA
KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Leo Alhamisi kwenda kuweka kambi ya wiki mbili katika jiji la Mpumalanga, Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini na kujiandaa…