YANGA YAIJIBU SIMBA…MCHONGO UKO HIVI…SHUKA NAYO
YANGA Ilikuwa ya kwanza kumfuata Yusuph Kagoma na kumsainiha mkataba wa awali, lakini Simba ikaingilia dili hilo na kupita nae kimafia. MCHONGO MZIMA ULIKUWA HIVI.…
YANGA Ilikuwa ya kwanza kumfuata Yusuph Kagoma na kumsainiha mkataba wa awali, lakini Simba ikaingilia dili hilo na kupita nae kimafia. MCHONGO MZIMA ULIKUWA HIVI.…
Jina lake ni Ahmed Ally, A.K.A Mashine ya Kuongea au Semaji la CAF, Msemaji aliyepitia kipindi kigumu Lakini aliendelea kuisimamisha CHAPA/Brand ya Simba kileleni kunakostahili.…
KWELI TAJIRI KAVUNJA BENKI, Unaweza kusema kivyo baada ya Muwekezaji na Raisi wa Heshima wa Simba Mohamed Dewji kuiwezesha SIMBA, kufanya fujo ya usajili hapa…
KABLA YA Kusafiri kwenda Misri kwaajili ya Manadalizi ya Msimu mpya, Simba ilijifungia kwenye hoteli moja eneo la Mbezi Beach na kufanya kikao kizito. Katika…
Rais wa Yanga, Mhandishi Hersi Said amesema hadi sasa kiungo wa klabu hiyo, Stephen Aziz Ki hajasaini mkataba mpya na kwamba mazungumzo yanaendelea na anaamini…
UONGOZI wa klabu ya Young Africans SC, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo, mkatab huo utadumu…
HUENDA Ulikuwa unafikiria Simba itasafiri na wachezaji wake wote kwenda Misri kwaajili ya Pre Season, lakini haipo hivyo beki Lameck Lawi yupo zake Dar es…
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027. Awali mchezaji…
BAADA ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani kumpata…
MAPACHA Wameanza kutambiana, BAADA ya Usajili wa Chadrack Boka Kukamilika wanasema kwamba Aliyesajiliwa Simba Valentin Nouma alikuwa haoni ndani kwa Boka. Beki huyo wa Kushoto…