HABARI ZA USAJILI…MOLOKO WA YANGA KURUDI BONGO
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC ya…
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC ya…
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki wa…
Straika wa zamani wa Simba, Felix Sunzu akizungumzia usajili wa kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Joshua Mutale kutoka Zambia amesema kwamba timu hiyo imelamba…
KLABU ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Debora Fernandes kwa mkataba wa miaka mitatu. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Wekundu hao wa Msimbazi akitokea Klabu ya…
Nyota wa zamani wa Highlanders FC ya Bulawayo Zimbabwe ya Mugabe, Alipita Super Sports United ya Pretoria na akatamba pia Black Leopard zote kwa Madiba…
ALIYEKUWA kipa wa Singida BS na Simba SC, Beno Kakolanya amemaliza utata, akisema misimamo yake imekuwa ikimponza kwa watu wakimchukulia kama mtovu wa nidhamu. Beno…
Florent Ibenge Kocha mku wa Al Hilal amemzungumzia nyota mpya aliyesajiliwa na Yanga kutoka Simba, Clatous Chama na kilichomkwamisha kufanya vizuri Morocco, huku akitia neno…
JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa Uhamiaji…
Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wao wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili gia…
BAADA ya kukwama kujiunga na Klabu ya Simba, Kocha Steve Komphela ametua Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Komphela ataungana na Monqoba Mngqithi kukikonoa kikosi hicho…