SIMBA YASHUSHA MKATA UMEME…TAKWIMU ZAKE ZA MOTO
KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Augustine Okejepha, 20, akitokea Rivers United ya Nigeria. Kiungo huyo raia wa Nigeria, anajiunga na Simba kipindi…
KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Augustine Okejepha, 20, akitokea Rivers United ya Nigeria. Kiungo huyo raia wa Nigeria, anajiunga na Simba kipindi…
SIMBA Wamefikia makubaliano na Mchezaji wake Aubin Kramo, kumtoa kwa mkpo kwenda kucheza Al Hilal ya Sudan, hii ni baada ya mvutano wa muda mrefu…
Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada…
Wakati Geita Gold ikiijia juu Simba kumtambulisha mchezaji Valentino Mashaka ikidai hawakufuata utaratibu kwa madai bado ni mali yao, nyota huyo ameiruka timu hiyo akieleza…
Kocha Fadlu Davids ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Simba SC, baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo. Kocha huyo raia wa Afrika Kusini…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameongoza dua maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji ambaye alifariki na kuzikwa Marekani…
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini mkata umeme kutoka DR Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza nguvu kwenye eneo…
BEKI WA KUSHOTO fundi kabisa Chadrack Boka (24) ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 2024|25. Chadrack Boka amesaini mkataba wa miaka miwili na…
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa hapendi kuona timu ya taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars‘ ikitolewa mapema katika fainali za Afcon…
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao matano huku akiiwezesha…