AZIZ ANDABWILE AFICHUA SIRI YA USHINDI WA YANGA
Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini…
Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini…
SIMBA Queens inasaka kocha mpya baada ya kuachana na Juma Mgunda na sasa iko mbioni kukamilisha dili la Kocha wa CBE ya Ethiopia, Birhanu Gizaw.…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama amehusika kwenye mabao manane kati ya 17 yaliyofungwa na Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika,…
Bila shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine vikubwa wakiwa wamevalia vest nyeusi…
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrrika (CAFCL)…
Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia kikosi chao kushinda kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya Ken Gold, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amesema…
Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na kufuzu hatua ya makundi ya…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo ambao wanaonekana kuanza kukisifia kikosi chao baada ya kutinga hatua ya makundi…
Jumamosi Yanga ikicheza katika Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kutoa kipigo cha mabao…
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni kwa mastaa wa kigeni…