FARHAN: MSIPENDE MCHEZAJI…IPENDENI SIMBA…ZAMA ZA CHAMA ZIMEPITA
Mchambuzi wa Michezo na Shabiki wa Simba Farhan Kihamu amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kuipennda zaidi timu kuliko mtu, mchezaji au mtendaji kwani…
Mchambuzi wa Michezo na Shabiki wa Simba Farhan Kihamu amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kuipennda zaidi timu kuliko mtu, mchezaji au mtendaji kwani…
SIMBA inadaiwa ipo katika harakati za kunasa saini ya kiungo wa Asec Mimosas, Josephat Arthur Bada zilizoingia ugumu baada ya Ismaily ya Misri kuingilia kati…
NI MWEZI wa Usajili na Vimbwanga vyake, Tumesikia habari za Chama na Yanga na sasa tuna hii ya Prince Dube baada ya kumalizana na Azam…
WASWAHILI Wamenena kwamba biashara asubuhi na jioni mahesabu, ndio kauli waliyoitumia Yanga kukamilisha dili la kiungo Clatous Chama ambaye ametua kwa mabingwa hao na tangu…
SIMBA inaendelea kusuka upya kikosi chake na sasa imeonyesha jeuri ya pesa katika kuwania saini ya winga wa kulia Elie Mpanzu (22), kutoka AS Vita…
Simba imemtambulisha rasmi Joshua Mutale raia wa Zambia anayecheza nafasi ya kiungo mshambuliaji kuwa mchezaji wao kwa miaka mitatu. Kiungo huyo aliyekuwa akikipiga Power Dynamos…
Inadaiwa kuwa Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumuongeza mkataba wa kusalia klabuni hapo kiungo wao Stephane Aziz Ki ambaye ametoa masharti kwa uongozi wa…
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya PAOK ya Ugiriki, Mbwana Samatta ‘Popat’ inadaiwa anajiandaa kumfuata Saimon Msuva anayecheza soka…
AFISA Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally ameibuka na mpya baada ya kusambaa sana kwa habari za usajili wa Chama kwenda anga. Ahmed Ally…
KLABU ya KMC FC imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki wa kati wa KVZ ya Zanzibar, Salum Athuman ‘Stopper’ baada ya nyota huyo aliyekuwa pia anawindwa…