AZAM FC WATANGAZA KUACHANA NA PRINCE DUBE…ANUKIA ZAIDI YANGA
UONGOZI wa Azam FC wametangaza kuachana na aliyekuwa mchezaji wao Prince Dube ambaye alikuwa kwenye mgogoro wa kimkataba na miamba hao wa Chamazi. Kupitia kwenye…
UONGOZI wa Azam FC wametangaza kuachana na aliyekuwa mchezaji wao Prince Dube ambaye alikuwa kwenye mgogoro wa kimkataba na miamba hao wa Chamazi. Kupitia kwenye…
Muda wowote kuanzia sasa John Bocco, atatangazawa kama mchezaji mpya wa JKT Tanzania. Moja ya sapraizi ambayo mashabiki wa Simba hawakuitarajia kwani walishampa ukocha kwenye…
KIUNGO aliyemaliza mkataba Yanga, Zawadi Mauya ameizungumzia misimu minne ndani ya kikosi hicho jinsi ilivyompa upana wa kufanya kazi yake kwa weledi, licha ya kushindwa…
KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema wala sio ishu mpya kwa beki Mkongomani kusajiliwa FAR Rabat ya Morocco, kwani jamaa alishamalizana nao kitambo…
Baada ya miaka zaidi ya sita kupita uongozi wa Simba umefanya uamuzi mgumu kwa kusajili beki wa kushoto mgeni wakinasa saini ya Valentino Nouma aliyekuwa…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama wa kutimkia Yanga ni uamuzi sahihi kwa sasa…
TAMASHA kubwa la mpira wa Miguu Tanzania na Afrika kwa sasa ‘Simba Day‘ mwaka huu litafanyika Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar…
MSHAMBULIAJI John Bocco anatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa na JKT Tanzania na tayari amepiga picha za utambulisho na kaingiziwa pesa zake za usajili. Taarifa…
INAELEZWA kuwa kuna sababu 5 zilizowafanya Mabosi wa Yanga kumpatia mkataa mpya wa miaka miwili, kitasa Bakari Mwamnyeto, ambapo mwanzoni watani zao walikuwa wanakaribia kuinasa…
RATIBA ya Simba kwa wachezaji kuanza kuripoti kambini kabla ya kusafiri kwenda Misri ilitakiwa kuanza Juni 27, kabla ya kikao cha leo cha wachezaji wote,…