MO AANZA NA MAMBO HAYA…KUIFANYA SIMBA KUWA TISHIO…MSIMU UJAO.
Viongozi wa Simba wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao baada ya kukosa taji la Ligi Kuu Bara kwa misimu…
Viongozi wa Simba wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao baada ya kukosa taji la Ligi Kuu Bara kwa misimu…
SIMBA INAPITISHA panga kila kona, katika kuhakikisha wanakuwa na timu imara msimu ujao, Simba Queens imetoa Thank You kwa wachezaji wake wawili wa kimataifa. …
YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo Januari…
STAA wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amehusika kwa kiasi kikubwa kumshawishi, Straika Mganda Steven Dese Mukwala (24) asaini Msimbazi. Mukwala huenda akatambulishwa…
BAADA ya sakata la Clatous Chama kutopata suluhu hadi sasa, Uongozi wa Simba unakabiliwa na changamoto mpya ya kumshawishi kiungo wake Sadio Kanoute asalie klabuni…
KLABU ya Simba SC imepanga hadi kufikia mwishoni mwa wiki iwe ishamtambulisha kocha mkuu wa klabu hiyo, ili kuchuka nafasi ya Abdelhak Benchika aliyeondoka klabuni…
Taarifa za uhakika ni kwamba Prince Dube amelipa kiasi cha dola za Marekani 200,000 (takribani Tsh milioni 522) kwenda kwa Azam FC ili kuwa huru…
KAMA Tulivyoripoti Juni 19 mwaka huu kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeingilia dili la Kiungo wa Asec Mimosas Serge Pokou, sasa ni rasmi…
UONGOZI wa SIMBA unatajwa kumpatia masharti mazito mchazeji wao Clatous Chama ambaye mkataba wake na miamba hiyo umeisha, ili wakamilishe kumpatia mkataba mpya wa mahitaji…
WAKATI wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wakiendelea kutoa taarifa kuhusu hatma ya Clatous Chama Simba, mashabiki wa Simba na Yanga nao hawapo nyuma,…