MAJEMBE 11 YANAYOTUA SIMBA…KILA KITU KIPO TAYARI
KLABU ya Simba imeendelea kutamba sana kwenye habari za usajili tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili, kila mchezaji anahusishwa na miamba hii ya soka…
KLABU ya Simba imeendelea kutamba sana kwenye habari za usajili tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili, kila mchezaji anahusishwa na miamba hii ya soka…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe kwa viongozi na wachezaji bila kujali wale wapya ambao wanatajwa kusajiliwa Prince Dube, kiungo Clatous Chama kila mmoja…
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga SC adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao Mzambia…
RAIS wa Klabu ya AS Vita, Amadou Diaby amekutana na winga wa kikosi hicho, Elie Mpanzu Kibisawala ili kumshawishi aendelee kubaki ndani ya timu hiyo…
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa ya usajili huo.…
SIKU chache tu baada ya kupewa ‘Thank You’ na Simba, aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewasapraizi Wekundu wa Msimbazi wakati wenyewe wakijiandaa kumuaga…
MNYAMA Simba SC anafanya mabadiliko kimyakimya kwenye kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, na mabadiliko makubwa yanaendelea kufuatia kushindwa kufanya vizuri katika misimu mitatu…
MCHAMBUZI wa soka nchini Jemedari Said ametoa mtizamo wake, kuhusu sakata la usajili wa beki wa kati wa Coastal Union Lameck Lawi, ambaye amesajili na…
KLABU ya Yanga SC inatarajia kumtambulisha mchezaji kutoka Uganda Hassan Ssenyonjo ili kuzidi kuimarisha kikosi chao kwaajili ya mashindano ya msimu ujao. Hassan Ssenyonjo, ambaye…
SIMBA inaendelea kusuka kikosi chake kimyakimya huku ikielezwa kwamba kati ya mastaa 12 wa kigeni waliomaliza na kikosi hicho msimu wa 2023-2024, ni nyota watatu…