DUBE AMALIZANA NA AZAM FC…ML 500 ZAMPELEKA YANGA
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa ikihusishwa…
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa ikihusishwa…
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi Kuu…
UONGOZI wa Yanga chini ya Rais wake Injinia Hersi umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15 2024.…
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye akaunti ya Coastal Union kwaajili ya biashara ya…
SAA chache baada ya kutemwa na Simba, kiungo Saido Ntibazonkiza amepigiwa simu na moja ya vigogo wa juu wa Namungo akitaka huduma yake kwa msimu…
KIUNGO Mzambia Clatous Chama ameendelea kuweka ngumu kwenye kuongeza mkataba mpya na klabu yake ya sasa Simba SC. Inaelezwa kwamba Uongozi wa Simba SC unapambana…
BAADA ya Wagosi wa Kaya Coastal Union kukanusha habari za mchezaji wao Lameck Lawi kusajiliwa na Simba SC, wakisem kwamba hawatambui mkataba wa Simba na…
ALIYEWAHI kuwa Kipa wa Taifa Stars, Simba na Majimaji ya Songea Idd Pazi ameshangazwa na uamuzi wa John Bocco kustaafu soka mapema, huku akimshauri kitu…
YANGA inapiga hesabu kuwaficha mastaa wake Urusi kujiandaa na msimu mpya wa kimashindano, lakini iwapo itakwama kabisa basi itatua Sauzi na ikakutana uso kwa uso…
NI MASAA MACHACHE tu Tangu utambulisho wa beki wa kati kutoka Coastal Union Lameck Lawi kufanyika kwenye klabu ya Simba, lakini tayari Uongozi wa wagosi…