LUIS MIQUISSONE APEWA THANK YOU SIMBA…
UONGOZI wa Simba umefikia hatua ya kutangaza kuachana na nyota wake Luis Miquissone baada ya kushindwa kukubaliana suala la kumuongeza Mkataba. Miquissone alikuwa na mkataba…
UONGOZI wa Simba umefikia hatua ya kutangaza kuachana na nyota wake Luis Miquissone baada ya kushindwa kukubaliana suala la kumuongeza Mkataba. Miquissone alikuwa na mkataba…
KATIKA kuendelea kufanya maboresho ya kikosi cha timu hiyo, uongozi wa Simba umetangaza kuachana na mshambuliaji wake mzawa Shaban Chilunda baada ya mkataba wake kufikia…
HATMA ya mastaa watatu wa kigeni Yanga, kujulikana Julai Mosi mwaka huu wakati uongozi wa timu hiyo kutangaza rasmi siku hiyo ni maalum ya kuwapa…
KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi nchini huko tayari kwa msimu mpya wa mashindano. Yanga imekubali ombi la klabu…
BAADA ya kupitia wasifu wa makocha mbalimbali, uongozi wa Simba umejiridhisha na uwezo wa Steve Komphela , raia wa Afrika kusini kuja kurithi mikoba ya…
KLABU ya Simba imekamilisha dili la kiungo wa Zesco United ya Zambia, Kelvin Kapumbu kutua ndani ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi hao kwa msimu…
ANAYEKUFUKUZA hawezi kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya kutamani…
Simba SC ipo kwenye mazungumzo na beki wa kati wa ASEC Mimosas, Antony Tra Bi Tra (25) ili kuziba pengo la Henock Inonga anayetajwa uondoka…
KLABU ya Al Hilal ya Sudan imeingilia kati dili la kiungo Serge Pokou wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast ambaye pia amekuwa akiwindwa na Simba…
MLINDA Mlango wa klabu ya Ihefu Abubakar Khomeiny amesajili na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa ni mrithi wa nyanda AbdulTwalib Mshery.…