SIMBA KUTUMIA UWANJA WA SHEIKH AMR ABEID ARUSHA
TAARIFA za ndani kabisa kutoka klabu ya Simba ni kwamba vongozi wanafikiria kuhamishia mechi zao za nyumbani msimu ujao 2024/25 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri…
TAARIFA za ndani kabisa kutoka klabu ya Simba ni kwamba vongozi wanafikiria kuhamishia mechi zao za nyumbani msimu ujao 2024/25 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri…
WINGA hatari kutoka Asec Mimosas aliyesajiliwa na Simba Aubin Kramo inaelezwa kwamba ameshapona majeraha yake, sasa yuko tayari kutoa burudani ndani ya uwanja. Habari za…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amepiga simu moja kwa beki mpya kutoka FC Lupopo Chadrack Boka na kumpa maelekezo mazito kuhusu msimu ujao ambapo Yanga…
Simba imepanga kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwaajili ya msimu ujao. Jobe alijiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari kwa mkataba…
UONGOZI WA SIMBA, umefikia makubaliano ya kuachana na mchezaji wao Raia wa Burundi Saidoo Ntibazonkiza ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa miaka miwili. Mkataba wa…
KIRAKA Farid Mussa amedumu Yanga kwa misimu yenye mafanikio zaidi kwake akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu Bara, na mataji mawili ya ngao…
MUITE Miguel Gamondi Master, Hataki masihara na chama lake, amewapatia programu maalum mastaa wake, ili kuwafanya wawe timamu kimwili na akili pindi msimu mpya wa…
ALIYEWAHI kuwa wa zamani wa Simba SC na Yanga kwa nyakati tofauti, Deogratius Munishi ‘Dida’ amesema miongoni mwa mabao bora ya msimu ulioisha, limo alilofungwa…
KAZI imeanza na sasa heshima ya Simba inakwenda kurejea, ndiyo maneno ya mjumbe mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo,Crescentius Magori baada ya kuteuliwa…
KLABU YA YANGA imefungiwa kusajili wachezaji wapya, kutokana na kukiuka kanuni za usajili za FIFA. Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF, iliyotoka leo…