BAADA YA KUFUZU ROBO FAINAL CAF….HESABU ZA SIMBA KUTINGA NUSU HIZI HAPA….
SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi…
SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi…
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo…
Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni hiyo…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Saed Ramovic, amesema moja ya sababu zilizofanya timu yake ishindwe kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni…
KATIKA dakika 270 sawa na mechi tatu za mwisho kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kujipata kutokana na namna ya…
WAKATI Simba ikitarajiwa kukutana na timu moja kati ya Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory Coast au Al Masry ya Misri, Kocha Mkuu…
WAKATI Klabu ya Simba ikitangaza kuwa baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya CS Constantine, hesabu zote sasa zipo kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara…
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi watakaa na kusuka…
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi,…
Ligi ya mabingwa barani ulaya leo itaendelea na michezo kadhaa itakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ukiwa na nafasi ya kupiga maokoto ya kutosha kupitia…