SIMBA, YANGA ZAPEWA ‘MTELEZO’ KOMBE LA SHIRIKISHO….
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC kutoka Mwanza, inayoshiriki Ligi Daraja…
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC kutoka Mwanza, inayoshiriki Ligi Daraja…
Je unajua kuwa meridianbet ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000?. Kama hujajua basi mimi ndio nakujuza ingia na…
WEKUNDU wa Msimbazi Simba imeibuka na ushindi 1-0 Dhidi ya Pamba Jiji FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo uwanja wa…
KOCHA mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa wa timu hiyo waliokuwa wanayawakilisha mataifa yao kurejea…
BAADA ya kutambulishwa rasmi na Zesco United, aliyekuwa mshambuliaji wa Simba SC, Freddy Michael Koublan, amejipanga kurejea kwa kishindo kwenye soka la ushindani. Mshambuliaji huyo…
Baada ya mapumziko ya kupisha michezo ya kimataifa. Ligi kuu ya NBC inatarajia kuendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo wenyeji wa dimba la CCM kirumba…
WAKATI dirisha dogo la usajili likikaribia, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, tayari amepenyeza faili la usajili akitaja maeneo anayotaka yaongezewe nguvu kwa ajili ya…
MABADILIKO katika benchi la ufundi la Yanga, yameonekana ‘kumtisha’, Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, ambaye amesema yeye alijiandaa kupambana na…
MTIKISIKO unakuja Simba ambayo ipo katika hesabu kali kuelekea dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Desemba 15, 2024. Mabosi wa klabu hiyo wameanza mapema mikakati…
Yanga imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu. Inaripotiwa kuwa mshambuliaji huyo ameshafanya mazungmzo…