LUSAJO MTAMBO WA MABAO NDANI YA NAMUNGO UNAOHUSISHWA KUJIUNGA YANGA
UKIWATAJA wazawa wakali wa kucheka na nyavu kwa msimu wa 2019/20 walio ndani ya tano bora, huwezi kuliacha jina la Reliants Lusajo anayekipiga ndani…
UKIWATAJA wazawa wakali wa kucheka na nyavu kwa msimu wa 2019/20 walio ndani ya tano bora, huwezi kuliacha jina la Reliants Lusajo anayekipiga ndani…
ARSENAL imekamilisha usajili wa winga Willian raia wa Brazil kwa dili la miaka mitatu, leo Agosti 14. Winga huyo ametua Arsenal bure kwa kuwa mkataba…
RASMI leo Agosti 14, Charlse Ilanfya ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven. Ilanfya alikuwa anakipiga ndani ya KMC ambapo aliibukia…
DIRISHA la usajili linaendelea kwa sasa ambapo timu nyingi zinajipanga kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Kuna umuhimu…
TIMU ya Ruvu Shooting Star yenye maskani yake Pwani (Barcelona ya Bongo), leo, Agosti 14, 2020, imeingia mkataba na Kocha mpya, Charles Boniface Mkwasa (Master),…
LEO Agosti 14, Klabu ya Simba imetambulisha uzi mpya itakaoutumia kwa msimu mpya wa 2020/21. Muonekano wake upo namna hii:-
GWAMBINA FC ambayo msimu ujao wa 2020/21 itashiriki Ligi Kuu Bara imetangaza jeshi lake la kazi ambalo italitumia likiwa na maingizo mapya pamoja na wale…
KWA mara ya kwanza, beki mpya wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto aliliripoti na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake tayari kwa ajili ya kuanza msimu…
MKURUGENZI Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hersi Said, ametaja majukumu atakayoyafanya aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa