AZAM FC YAMALIZANA NA KIPA ALIYEKUWA AKIKIPIGA KENYA
DAVID Kissu kipa aliyekuwa akikipiga Gor Mahia ya Kenya leo amefuzu vipimo vya afya kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Azam FC. Kissu aliibukia…
DAVID Kissu kipa aliyekuwa akikipiga Gor Mahia ya Kenya leo amefuzu vipimo vya afya kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Azam FC. Kissu aliibukia…
BEKI wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ leo Agosti 6 amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Ninja msimu wa 2017/18 alikuwa anakipiga…
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya uongozi wa Yanga kuachana jumla na mabeki wao wawili wakongwe Kelvin Yondani na Juma Abdul ni kushindwa kufikiana makubaliano katika…
KOCHA wa Mbao FC ya Mwanza, Fred Felix Minziro amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20.…
MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20. Waziri…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kiungo mshambuliaji Clatous Chama anaweza kusepa na tuzo zote ndani ya msimu wa 2019/20 kwa kuwa rekodi zinambeba.Chama ameshatwaa tuzo…
KAMPUNI ya GSM iliyochukua jukumu la usajili Yanga kwenye msimu ujao, imemuwekea kitita cha Sh 50Mil, beki wa pembeni wa Nkana Rangers ya Zambia, Hassan…
IMEELEZWA kuwa jumla ya makocha 60 wamewasilisha CV za maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao wa 2020/21 ili kubeba mikoba ya Luc Eymael ambaye…
MSIMU wa 2019-20 jumla ya mabao 767 yamefungwa ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Bara .Zimechezwa jumla ya mechi 380 ikiwa ni wastani…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi