YANGA KULA SAHANI MOJA NA MORRISON, MATOLA ASIMULIA MKAPA ALIVYOMPA LAKI 5
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utafanya usajili wa wachezaji wa kimataifa wenye viwango vizuri ili kuirudisha timu hiyo kwenye ubora ikiwa ni pamoja na…
WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM rasmi imewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kila kitu kuhusu usajili wao umekamilika na jumla ya…
UNAI Emery, Kocha Mkuu wa zamani wa Klabu ya Arsenal aliyemuachia mikoba yake Mikel Arteta ambaye bado anapambana ndani ya kikosi hicho amepata dili la…
FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa waliokuwa wakilalamika kwamba anaihujumu Yanga ni mashabiki wa Yanga ambao walimuona akiwa Iringa bila kujua kwamba alikuwa…
USIKU wa kuamkia jana Ijumaa, taifa lilipata msiba mzito, hiyo ni baada ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tatu, Benjamin…
Kesho ndani ya SPOTI XTRA Jumapili
LICHA ya mipango mizito ya usajili ambayo inayofanywa na mabosi wa Simba wakiongozwa na mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ imebainika kwamba kikosi hicho hakitakuwa na…
KUANZIA wiki jayo, Kamati ya Mashindano ya Yanga ikiwa sambamba na wadhamini wao GSM, inatarajia kuanza kuandaa mapokezi ya kutua kwa kiungo mshambuliaji raia wa…
KUFUATIA mwenendo mbaya wa timu ya Yanga msimu huu kwa kukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la FA huku baadhi ya mashabiki…