MINZIRO:NINGEPEWA MBAO MAPEMA KWA SASA NISINGEKUWA NA PRESHA YA KUSHUKA DARAJA
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Mbao FC amesema kuwa angepewa timu mapema isingekuwa kwenye hali ya kupambania kushuka daraja kama inavyofanya sasa.Minziro ameweza kurejesha makali…