NAMUNGO YAPANIA KUTIBUA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA
USHINDI wa bao 1-0 walioupata Namungo mbele ya JKT Tanzania ambao waliitungua Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck, Februari 7 bao 1-0 imewapa hali ya…
USHINDI wa bao 1-0 walioupata Namungo mbele ya JKT Tanzania ambao waliitungua Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck, Februari 7 bao 1-0 imewapa hali ya…
KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kupata majeraha jana, Julai 5 wakati wakikubali kugawana pointi moja na Biashara United.Kwa mujibu…
IMEELEZWA kuwa, uongozi wa Azam FC upo mbioni kumshusha Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola ili kuongeza nguvu kwenye benchi lao la ufundi. Matola ni…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ameanza safari kuelekea Bukoba kuungana na wachezaji wenzake ambao wana mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hana hesabu kuhusu mchezo wake wa Simba wa hatua ya nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa Julai 12 Uwanja…
TIMU ya Aston Villa inazidi kupoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi Kuu England msimu ujao baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa…
YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Mecky Maxime ambaye aliitungua Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu…
MBALI na kujenga urafiki na nyavu mshambuliaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere raia wa Rwanda anapenda kusoma vitabu kuhusu mafanikio.Kwenye Ligi Kuu Bara metupia…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana, Uwanja wa Azam Complex kati ya Azam FC v Singida United ulikamilika kwa Azam FC kuishushia mvua ya…