RASTA KUTOKA BURKINA FASO KUTUA YANGA,SIMBA DAKIKA 270 BINGWA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
LEO uhondo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaendelea ambapo timu 14 zitakuwa kwenye viwanja saba tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Mechi za leo Juni 20 zitakuwa…
YANGA imerahisishiwa kazi ya kumnasa kiungo wa zamani wa Simba, James Kotei baada ya mchezaji huyo kuvunja mkataba wake na timu yake ya FC Slavia…
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara, Meddie Kagere amesema kuwa inaweza kutokea kwa straika yeyote kucheza mechi hata tano bila kufunga bao ila anachoangaliwa…
TIMU tatu miamba ya Afrika, TP Mazembe na As Vita za DR Congo na AS Horoya ya Guinea zimeshafuzu Ligi ya Mabingwa Afrika.Vita na Mazembe…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mshambuliaji wao namba moja, Obrey Chirwa na nahodha wao Agrey Morris wapo tayari kuwavaa Yanga, kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kazi kubwa iliyobaki ndani ya Ligi Kuu Bara ni kushinda mechi zote ikiwa ni pamoja na mechi dhidi ya…
Kesho ndani ya Championi Jumamosi
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amejiunga na wachezaji wenzake kwenye mazoezi yanayofanyika Uwanja wa Chuo cha Sheria,Sinza, Dar es Salaam.Morrison hakuwa sehemu ya…
TUMEANZA kushuhudia ile burudani ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa macho ya wanamichezo. Nazungumzia mpira wa ushindani ambao umekuwa ukiwakusanya ndugu jamaa…