TIMU YA MBWANA SAMATTA YAAMBULIA POINTI MOJA
ASTON Villa ya Mbwana Samatta leo imelazimisha sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa dhidi ya Sheffield United.Mchezo wa leo ulikuwa…
ASTON Villa ya Mbwana Samatta leo imelazimisha sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa dhidi ya Sheffield United.Mchezo wa leo ulikuwa…
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amewaambia mashabiki kwamba mziki unaoshuka Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Mwadui ni tofauti kabisa na wataona wenyewe…
BEKI wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro amekwatwa mshahara wake wa kiasi cha shilingi milioni moja kutoka kwenye mshahara wake kwa kosa la kitenda kisicho…
Kesho ndani ya SPOTI XTRA Alhamisi usipange kukosa nakala yako
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu jambo linalowafanya wawe makini kwenye mechi zao.Akizungumza na…
JKT Tanzania, leo imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa…
MSHAMBULIAJI wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Premier League, Mtanzania, Mbwana Samatta amemhakikishia baba yake mzazi, mzee Ally Samatta kuwa atapambana kuhakikisha anainusuru timu yake…
HT: JKT Tanzania 1-0 Yanga Michael Aidan goal Zimeongezwa dakika 2 Dakika ya 45 Juma Abdul anapiga faulo inayoishia Kwenye mikono ya kipa Dakika ya…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umesema kuwa hesabu kubwa zilizo ndani ya kikosi hicho ni kuleta ushindani mkubwa kwenye mechi zilizobaki kwa kuwa wanaamini wana kikosi…