Latest Posts

HESABU ZA AZAM FC ZIPO NAMNA HII

ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa hesabu zake kubwa kwa sasa ni kwenye mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao…

ARSENAL YAMTEMBEZEA CHARTOLN 6-0

CHARTOLN imechapwa mabao 6-0 na Arsenal kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Uwanja wa Fly Emirates. Arsenal iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta inaendelea na…

AZAM FC NGUVU ZOTE SASA KWA MBAO FC

BAADA ya jana Azam FC kutoshana nguvu na Trasint Camp kwenye mchezo wa kirafiki sasa nguvu zote zinaelekezwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi…

AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA TRANSIT CAMP

MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji dhidi ya Transit Camp umekamilika kwa timu zote kutoshana…