HIVI NDIVYO YANGA NA SIMBA ZITAKAVYOKUTANA KWENYE MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO
LEO Mei 29 droo ya ratiba ya mechi za robo Fainali imepangwa makao makuu ya Azam TV ambapo tayari timu zote nane zimejua zitakutana na…
LEO Mei 29 droo ya ratiba ya mechi za robo Fainali imepangwa makao makuu ya Azam TV ambapo tayari timu zote nane zimejua zitakutana na…
BERNARD Morrison nyota wa Yanga amekuwa akifanya mazoezi akiwa amevaa maski maalumu za mazoezi zinazoitwa ‘training mask’ jambo ambalo limemkosha daktari wa timu hiyo Shecky…
MIRAJ Athuman,’ Sheva’ ni mzawa anayekipiga ndani ya Simba ambaye ni ingizo jipya kwa msimu wa 2019/20 akitokea ndani ya Lipuli. Sheva hakuwa na mbwebewe…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchakato wa safari ya kuelekea mabadiliko umefika hatua nzuri na mpango mkubwa uliopo ni Mei 31 itakuwa siku maalumu ya…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wamepangwa kumenyana na Simba kwenye mchezo wa robo fainali. Yanga itamenyana na Kagera Sugar kwenye hatua ya…
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anahitaji siku 21 ambazo ni sawa na saa 504 kwa ajili ya kukiaandaa kikosi chake kurejea kumalizia…
LEO Mei 29 mbivu na mbichi zitajulikana kwa kila timu iliyotinga atua ya robo fainali kutambua itakutana na nani kwenye mchezo wao unaofuata.Bingwa mtetezi wa…
SALUM Kimenya, beki kiraka wa Klabu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kinachokwamisha dili lake la kutua ndani ya Simba ni dau kuwa chini kuliko lile…
OFISA Habari wa Simba Haji Manara ameipongeza Serikali kwa kutoa ukomo wa mashabiki waakaohudhuria uwanjani kbaada ya taarifa ya awali kueleza kuwa watahitajika mashabiki 10…
SALUM Abubakari,’Sureboy’ kiungo anayetajwa kuingia kwenye rada za Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Azam FC amemkalisha jumlajumla nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi kwenye mchango…