CHAMA AIBUA HISIA TOFAUTI YANGA…UTAMBULIHO WAKE NI BALAA.
UTAMBULISHO wa mchezaji mpya wa Yanga, Clatous Chota Chama, umeibua shangwe la mashabiki wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Chama amejiunga na Yanga…
UTAMBULISHO wa mchezaji mpya wa Yanga, Clatous Chota Chama, umeibua shangwe la mashabiki wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Chama amejiunga na Yanga…
MLINDA Mlango wa Yanga, Djigui Diarra amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho hadi mwaka 2027. Hatua hiyo imejiri katika utambulisho…
Meridianbet Kasino inaendelea kufaidisha wateja, kwa kucheza michezo ya kasino na sloti unaweza kushinda bonasi ya kasino Baab kubwa, jisajili upate bonasi ya Ukaribisho kwa…
SIMBA imetambulisha kikosi cha wa wachezaji 30 kwa ajili ya msimu 2024/25 huku majina ya Lameck Lawi na Israel Mwenda yakikosekana. Simba walimtambulisha Lawi kama…
KILELE cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day) kinahitimishwa leo Agosti 4, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kwa klabu hiyo kutambulisha kikosi…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Fredy Michael ametabiriwa kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku Kibu Denis akisamehewa na wana Msimbazi baada ya sakata…
RAIS wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikisha kuandaa tamasha la Simba Day, Jana Agosti 3. Tamasha hilo ni la…
MASHABIKI wa Simba, akiwemo mdau mkubwa wa timu hiyo Mohammed Soloka amesema mwitikio mkubwa wa mashabiki wa timu hiyo kujaza Uwanja wa Mkapa ni kielelezo…
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ashi Manula ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2024/25 baada ya timu hiyo kutambulisha makipa…
ALIYEKUWA CEO wa Simba, Imani Kajula ameagwa rasmi jana kwenye kilele cha tamasha la Simba Day linalofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kajula alijiunga na Simba…