Latest Posts

AMIS TAMBWE ANATAKA KURUDI YANGA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga. Tambwe anasema katika moyo wake…

JACK GREALISH ANAITAMANI MANCHESTER UNITED

JACK Grealish, kiungo wa Aston Villa ambaye ni nahodha wa Mbwana Samatta ameonyesha nia ya kujiunga na Klabu ya Manchester United ambayo inaelezwa kuwa wanaiwinda…

MANULA NA KAKOLANYA UWANJANI WAPO NAMNA HII

AISHI Manula amekaa langoni kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara.Beno Kakolanya amekaa langoni kwenye mechi saba. Simba ikiwa imecheza mechi 28 imefungwa mabao 15.Manula amefungwa…

AFC ARUSHA YAIANGUKIA TFF

UONGOZI wa Arusha FC,(AFC) inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kuwakumbuka katika wakati huu wa janga la Corona kwa kuzipa sapoti…