BREAKING NEWS…STARTIMES KUONESHA LIGI ZOTE DUNIANI.
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa kuonesha…
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa kuonesha…
Mbio ndefu (Marathon) ndio mtetezi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 inayoendelea kutimua vumbi nchini Ufaransa kwasasa, Ambapo washiriki wa michuano hiyo kutoka…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amedai lengo la kucheza mechi za kirafiki za ndani ni kuficha kikosi chake kwa lengo kutaka kuona muunganiko wa…
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube ameweka wazi kuwa kucheza timu moja na wachezaji wenye uwezo ikiwa ni Clatous Chama, Aziz Ki kunamuongezea hali ya…
MCHAMBUZI NGULI wa Michezo Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia…
WACHEZAJI Wapya wa Simba Joshua Mutale winga na Steve Mukwala Mshambuliaji wamefunguka kuelezea namna ambavyo kambi ya timu hiyo ilivyokuwa huko Ismailia Misri. Akizungumzia kikosi…
SIMBA imekamilisha βPre-seasonβ Misri baada ya kuwa huko kwa wiki tatu na leo Jumatano imerejea Dar kumalizia maandalizi ya mwisho kabla ya Simba Day Jumamosi…
Dili la Winga wa Simba Kibu Denis na timu ya ligi kuu ya Norway, Kristiansund BK, limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee nchini…
Kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma (28) atakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili hadi tatu baada ya kupata majeraha akiwa kambini Ismailia, Misri. Kagoma…
Mhamasishaji waΒ Klabu ya Yanga SC, Haji Manara amesema Simba SC wasiende Uwanjani Agosti 08 katika pambano lao Ngao ya Jamii la kuashiria kufunguliwa kwa…