HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA
SVEN Vandenbroeck, Ko cha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa…
SVEN Vandenbroeck, Ko cha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
KATIKA kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya kukiimarisha kikosi chao kama ilivyopendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, uongozi wa Yanga umeanza mchakato wa kunasa saini…
HATIMAYE uongozi wa Yanga umefanikiwa kukamilisha mchakato wa kumwongezea mkataba mpya kiungo wake wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Papy Tshishimbi, ambaye…
MSHAMBULIAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Miraji Athuman, amesema mazoezi ya wiki mbili yatamfanya arejee katika ubora wake ule ule ambao…
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Simba, Kassim Dewji ‘KD”, ameweka wazi timu hiyo ilifanya vema katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye msimu…
KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa mmoja wa wachezaji wa timu…
MPIANA Mozizi anakipiga ndani ya Klabu ya FC Lupopo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo. Timu yake ipo nafasi ya 11 ikiwa imecheza mechi 22 kibindoni…
MTENDAJI Mkuu wa Chama cha Makocha wa Ligi England, Richard Bevan, amesema msimu wa soka nchini humo hautaendelea kama wachezaji wote hawatapimwa Corona. Kauli hiyo inawagusa…
JEREMIE Mumbere Mbusa ameletwa duniani 10 Juni 1991 anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.Ana umri wa miaka 28 anacheza nafasi ya kiungo pia anakipiga…