Latest Posts

Habari za simba na Yanga

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa mchezaji…

Habari za Yanga- Baleke

GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE

KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha ndani ya timu hiyo, akisema…