MASAU BWIRE:MPAPASO BILA MASHABIKI HAUNOGI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kutokana na tamko la Bodi ya Ligi Kuu Bara kuwa endapo Ligi Kuu Bara itarejea timu zitacheza…
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kutokana na tamko la Bodi ya Ligi Kuu Bara kuwa endapo Ligi Kuu Bara itarejea timu zitacheza…
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatatu
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba ndani ya kikosi cha Simba amepewa jukumu la kupiga penalti.Kwenye jumla ya mabao 19 ambayo Kagere amefunga kwenye Ligi Kuu…
KIUNGO wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud, ameweka bayana kuwa anajisikia furaha kusikia kuwa anahusishwa na kujiunga na Yanga kutokana na ukubwa wa timu hiyo hapa…
HARUNA Niyonzima, Kiungo mshambuliaji wa Yanga amemshauri kiungo wa Simba Said Ndemla kutafuta changamoto mpya ili apate nafasi ya kucheza.Ndemla kwa sasa ndani ya Simba…
BALAA kubwa huenda likawakumba baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba kutokana na kudaiwa kukiuka taratibu za klabu hiyo. Wachezaji hao ni Mnyarwanda, Meddie Kagere,…
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya klabu ya Simba amesema kuwa watu wengi wanaomsema vibaya hawezi kuwazuia kwa kuwa wameamua kumwandama bila kujua kinachomsumbua.Mkude amesema…
LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Wachezaji wanaendelea kujifua kulingana na programu ambazo wamepewa na makocha wao ili…
WILLIAM Lucian ‘Gallas’, beki wa Polisi Tanzania, amesema kuwa anatumia muda mkubwa kufanya mazoezi ili kuwa fiti endapo Ligi Kuu Bara itarejea.Kwa sasa ligi imesimama…