SINGIDA UNITED INA KIBARUA KIGUMU LEO MBELE YA SIMBA IKIWA IPO NAFASI YA 20
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo imecheza jumla ya mechi 27 kwenye Ligi Kuu Bara.Imeshinda mechi mbili na kujivunia pointi sita katika…
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo imecheza jumla ya mechi 27 kwenye Ligi Kuu Bara.Imeshinda mechi mbili na kujivunia pointi sita katika…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara upo namna hii kwa sasa
MCHEZO wa Ligi Kuu England kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal uliopaswa uchezwe leo Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad, umeahirishwa kutokana na bosi wa…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la BETIKA, nakala yake ni bure kabisa lipo mtaani
DANNY Drinkwater ambaye alijiunga kwa mkopo ndani ya Klabu ya Aston Villa kwa sasa anasubiri hatma yake kujua kama ataendelea kubaki ndani ya kikosi hicho…
PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United kwa sasa imeelezwa kuwa anafikiria kubaki ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya mafanikio yake ya hapo baadaye. Pogba…
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI JUMATANO, nafasi ya kushinda ndinga ni kubwa ukinunua gazeti hili
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ameumia kwa timu yake kuchapwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Machi 8 Uwanja…
YANGA kesho inatarajiwa kushuka Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Yanga itaingia uwanjani ikiwa na kumbukukumbu ya kulazimishwa sare kwenye…
SIMBA leo itakuwa na kazi ya kumenyana na Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00 jioni.Mchezo…