KMC: HATUKUPANGA KUAMBULIA POINTI MOJA TULITAKA POINTI TATU
SADALA Lipangile, nahodha wa KMC amesema kuwa hawakuhitaji kupoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na nafasi waliyopo kwenye ligi ila walizidiwa mbinu na wapinzani…
SADALA Lipangile, nahodha wa KMC amesema kuwa hawakuhitaji kupoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na nafasi waliyopo kwenye ligi ila walizidiwa mbinu na wapinzani…
MBWANA Samatta, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England leo ameweka rekodi mpya kwa kufunga bao katika mechi ya fainali…
ASTON Villa timu anayokipiga Mbwana Samatta, jana Machi Mosi imeshuhudia ubingwa ukisepa jumla mpaka mikononi mwa wapinzani wao Manchester City.Villa iliyo chini ya Dean Smith…
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa wapinzani wao Watford walistahili kushinda mabao 3-0 waliyoyapata kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England.Mchezo huo uliochezwa…
LUIS Miquissone leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kupachika kimiani mabao mawili yote wakati wakiilaza KMC kwa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa.Mchezo wa leo,Machi Mosi…
KIKOSI cha Aston Villa kitakachoanza leo dhidi ya Manchester City. Fainali ya Carabao, Samatta ndani
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya KMC Uwanja wa Taifa saa 2:00 usiku
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa Aston Villa amesema kuwa ana imani na nyota wake mpya Mbwana Samatta atakuwa msaada kwenye kikosi hicho.Leo Samatta ana kazi…
SVEN Vandenbroeck,Kocha Mkuu wa Simba leo, Machi Mosi atakiongoza kikosi chake Uwanja wa Taifa dhidi ya KMC iliyo chini ya Harerimana Haruna. KMC iliyopanda daraja…