BAADA YA KUWAONA YANGA…FADLU DAVIDS ABADILI MIFUMO SIMBA.
FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za ushindani…
FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za ushindani…
WACHEZAJI wawili walioondoka Simba katika dirisha hili la usajili, wamekula maisha huko Algeria baada ya kujiunga na JS Kabylie inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo timu…
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Simba SC Jean Baleke ambaye ameonekana kwa nyakati tofauti na Yanga, amezua maswali mengi na ukosaoji mwingi kutoka kwa wadau wa soka…
Dabi ya Kariakoo ya kwanza Simba na Yanga kwa msimu mpya sasa imefahamika itapigwa Kwa Mkapa siku ya Agosti 8, ikiwa ni mechi ya Ngao…
KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Leo Alhamisi kwenda kuweka kambi ya wiki mbili katika jiji la Mpumalanga, Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini na kujiandaa…
MASHABIKI wa Yanga hadi sasa bado hawaelewi kinachoendelea klabuni kwao, baada ya tangu juzi usiku kuenea kwa taarifa kwamba uongozi wa klabu hiyo hautambuliwi kisheria…
WAKATI klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kupata leseni…
BAADA YA SIMBA kufanya sajili za maana kwa msimu huu, wakileta maingizo mapya ya kutosha na benchi jipya la ufundi chini ya kocha Fadlu Davids.…
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano, huku mastaa wawili wapya wa timu hiyo, Joshua Mutale na…
Expanse Tournament bado inaendelea, huenda leo ukaibuka mshindi wa Zaidi ya 2,500,000/= cheza kasino ya mtandaoni huku ukivuna mabonasi ya kasino kibao. Jisajili hapa kisha…