HIVI NDIVYO YANGA ILIPOKUBALI KULAZIMISHA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA MBEYA CITY
BERNARD Morrison, mshambuliaji wa Yanga, jana ameonyesha ushujaa wake mbele ya Mbeya City kwa kufunga bao kwenye sare ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi…
BERNARD Morrison, mshambuliaji wa Yanga, jana ameonyesha ushujaa wake mbele ya Mbeya City kwa kufunga bao kwenye sare ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi…
HASSAN Dilunga, kiungo wa Simba ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar amesema kuwa anaomba radhi kwa mashabiki wake kwa kuwafunga moja bao kwenye ushindi…
ZUBERI Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kilichoiponza timu yake kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 mbele ya Simba ni kushindwa kuwazuia wapinzani wake…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Ruvu Shooting na Tanzania Prisons ambao ulipaswa uchezwe jana, Februari 11,2020 Uwanja wa Mabatini uliahirishwa na unasubiria maamuzi…
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichoibeba Simba jana, Februari 11, mbele ya Mtibwa Sugar ni kujituma kwa wachezaji wake.Simba jana ilishinda mabao…
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa yupo siriazi kuipata saini ya nyota wa Aston Villa, Jack Grealish ili kuongeza makali ndani…
GAZETI la BETIKA ni bure lipo mtaani, jipatie nakala yako
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amepiga mkwara kwamba kikosi hicho kinachoongozwa na kocha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, kwa sasa hakitakiwi kupoteza pointi yoyote kwenye mechi…
LUC Eymael ambaye ni kocha mkuu wa Yanga, ameshangazwa na jinsi mwenendo wa ratiba yao ya ligi ambapo ameweka wazi kwamba hata Ulaya kwenye ligi…