SIMBA YENYE MAUMIVU YAIFUATA MTIBWA SUGAR YENYE HASIRA
Verified MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameanza safari kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar…
Verified MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameanza safari kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar…
HUKO mtaani wanasema waamuzi hasa wanaochezesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ni janga la soka letu. Kelele hizo zimekuja hivi karibuni baada…
RAHEEM Sterling nyota wa Manchester City leo atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya West Ham.Nyota huyo ameumia nyama za paja na inasemekana…
SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amekaa benchi kwenye jumla ya mechi 10 za Ligi Kuu Bara baada ya kurithi mikoba ya Patrick Aussems.Ameshinda mechi…
STRAIKA mpya wa Yanga, Ditram Nchimbi, amekuja na wazo jipya katika kuhakikisha mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara anatoka ndani ya kikosi chao, hivyo yeye…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefurahia ujio wa viungo wake washambuliaji, Luis Miquissone na Shiza Kichuya akiamini utaiboresha safu yake ya ushambuliaji. Kauli…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta kwa kuweka historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu ya Uingereza…
ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Kamati ya Saa 72 kuiadhibu Yanga kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo ya kutumia chumba kisicho rasmi kubadilishia nguo, Bodi…