Latest Posts

HII NDIYO HATMA YA NEYMAR NA PSG

STRAIKA wa Paris Saint German, Kylian Mbappe, kwa sasa anaangalia nini anatakiwa kufanya ndani ya klabu hiyo na mwisho wa msimu atajua anaelekea wapi. Mbappe…

TULIPAMBANA ILI TUWAACHE INTER

STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema kitendo cha wao kushinda dhidi ya Parma kimezidi kuongeza gepu na wapinzani wao Inter Milan. Juventus inaongoza Serie A…

ANGUKO KUBWA MASTAA 2020, DIAMOND NDANI

MWAKA 2020 utakuwa wenye anguko kubwa kwa mastaa wa Bongo, habari mpya kutoka kwa mtabiri maarufu, Afrika Mashariki na Kati, Maalim Hassan Yahya Hussein zinaeleza. …

KOCHA SIMBA AMCHANA STRAIKA YANGA

ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amemuangalia straika Muivory Coast, Yikpe Gnamien ambaye Yanga wanatamba naye, akasonya kwa sauti na kukunja sura kama…

HAZARD AREJESHA MATUMAINI REAL MADRID

STAA wa Real Madrid, Eden Hazard, ameanza kufanya mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha. Hazard alianza mazoezi hayo juzi…

MORRISON MWINGINE KUSHUSHWA YANGA

WAKATI nyota wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, akiendelea kuwafanya wapenzi wa timu hiyo washindwe kuamini anachofanya uwanjani, kocha mkuu wa Yanga, Luc Eymael,…