MICAH: GUARDIOLA ALIBUGI HAPA MBELE YA MANCHESTER UNITED
MICAH Richard, mchezaji wa zamani wa Manchester City amesema kuwa mfumo alioutumia Kocha Mkuu wa City, Pep Guardiola ulimponza mbele ya Manchester United na kukubali…
MICAH Richard, mchezaji wa zamani wa Manchester City amesema kuwa mfumo alioutumia Kocha Mkuu wa City, Pep Guardiola ulimponza mbele ya Manchester United na kukubali…
KOCHA Mkuu wa Aston Villa, Dean Smith amesema kuwa alijua kwamba lazima nguvu ya Mbwana Samatta ingefika ukingoni dakika ya 60-65.Samatta ameanza maisha mapya ndani…
MBELGIJI Sven Vanderboeck ambaye ni kocha mkuu wa Simba, amelalamika kuwa wanatakiwa kujiandaa kwelikweli kutokana na ratiba yao kuwabana kwa sasa ambapo katika siku nane…
Klabu ya Yanga imesema itamwita mchezaji wake, Ramadhani Kabwili kueleza kwa kina juu ya tuhuma za rushwa alizozitoa dhidi ya Simba hivi karibuni. Hayo yamesema…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeiagiza Kamati ya Maadili kufuatilia ukweli kuhusu tuhuma za upangaji wa matokeo zilizotolewa na kipa wa Yanga, Ramadhani Kabwili. Akizungumza…
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Kanda ya Kati kukumbwa na…
Wakati dunia ikiwa bado katika simanzi nzito ya kuondokewa na nguli kwenye mchezo wa Basketball Kobe Bryant, waandaaji wa Tuzo za Oscar wametoa taarifa kuwa…
Uongozi wa Yanga umesema hawakubaliani na adhabu walizopewa na Bodi ya Ligi kwa wachezaji wao pamoja na klabu hiyo kwa ujumla tayari wameandika barua kwa…
KAMA ulikuwa unawaza kuna mtu kwenye tasnia ya Bongo Fleva wa kushindana naye mpaka sasa, unajiongopea! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz ama…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba leo amewanyanyua mashabiki wa timu yake kwa kufunga bao la ushindi lililoipa timu yake pointi tatu mbele ya Namungo FC.Simba…