VITA YA SIMBA NA NAMUNGO LEO KUNOGESHWA NA HAYA HAPA
NAMUNGO ya Lindi itakuwa na kazi ya kuendeleza ubabe wao ndani ya Ligi Kuu Bara wakiwa na kumbukumbu ya kupindua meza kibabe mbele ya Tanzania…
NAMUNGO ya Lindi itakuwa na kazi ya kuendeleza ubabe wao ndani ya Ligi Kuu Bara wakiwa na kumbukumbu ya kupindua meza kibabe mbele ya Tanzania…
BAADA ya Mtibwa Sugar kutupwa nje kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho na Sahare Stars kwa kufungwa penalti 3-2 baada ya sare ya kufungana bao…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa leo ataingia na mbinu mpya itakayompa nguvu ya kupata pointi tatu kwenye mchezo wao utakaochezwa…
MBWANA Samatta, mshambuliaji wa timu ya Aston Villa alitumia dakika 65 ndani ya Uwanja kuonyesha makeke yake mbele ya Leicester City wakati timu yake ikishinda…
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatano, Januari,29.
MBWANA Samatta, mshambuliaji wa timu ya Aston Villa, amecheza mchezo wake wa kwanza usiku wa wa kuamkia leo mbele ya Leicester City kwenye Kombe la…
Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya kilichoandikwa…
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael amesema hapendi kuona mchezaji wake, kiungo Bernard Morrison akiwadhalilisha wapinzani wake kwa staili yake ya uchezaji. Kauli…
Nahodha msaidizi wa Yanga, Juma Abdul, amesema kuwa uwezo alionao kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison, raia wa Ghana, ni habari nyingine kwani ana vitu vingi vya…
Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia saa…