Latest Posts

KISA SIMBA, GSM AFANYA KUFURU NYINGINE YANGA

Inaelezwa uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo, Dk Mshindo Msolla, unatarajia kukutana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana, Bernard Morrison kujadiliana ishu ya…

KISA NCHIMBI, SIMU YAPIGWA MISRI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesema amechukizwa na kitendo cha mshambuliaji wa timu hiyo, Ditram Nchimbi kwenda Misri kufanya majaribio huku akifanya udanganyifu…

MSALA WAIBUKA NINJA NA TIMU YAKE MAREKANI

Inaelezwa kuwa beki aliyewahi kuichezea Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ameondoka kunako klabu yake ya LA Galaxy II ya Marekeni. Taarifa zinasema kuwa wakala wake Alex…

AZAM FC KUINGIA KWA MTINDO HUU UWANJANI

UONGOZI wa azam FC umesema kuwa leo utaingia kwa tahadhari kubwa kumenyana na Friend Rangers kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho.Azam FC itashuka Uwanja…

RASHID MATUMLA KUHAMISHA MAKAZI

BONDIA wa zamani hapa nchini Rashid Matumla ‘Snake Boy ‘ameweka wazi kuwa anatamani kuhamia Mkoa wa Manyara ili kuweza kuwanoa vizuri vijana wa mkoa huo…

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

Kikosi cha Yanga dhidi ya Tanzania Prisons 1-Metacha Mnata 2-Juma Abdul 3-Jaffary Mohamed 4-Lamine Moro 5-Said Juma Makapu 6-AbdulAziz Makame Bui 7-Deus Kaseke 8-Haruna Niyonzima…