SIMBA WASHTUKIWA DILI NA YANGA, HAYA NDIYO MAAMUZI WALIYOFANYA NI NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumamosi
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumamosi
Usajili wa Samatta bado ni gumzo Tanzania na hata nje ya mipaka ya Bara la Afrika kwani amevunja mwiko kwa Watanzania kutocheza Ligi Kuu ya…
KIKOSI cha Simba, leo Jumamosi kitashuka uwanjani kupambana na Mwadui FC katika mchezo wa Kombe la FA utakaochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, David Molinga, amesema kuwa kazi ndiyo kwanza imeanza Yanga, hivyo mashabiki wa timu hiyo wasiwe na hofu mambo mazuri yanakuja.…
WACHEZAJI wa Yanga mshambuliaji mpya Ditram Nchimbi na kiungo fundi Feisal Salum ‘Fei Toto’ wiki iliyopita waliondolewa usiku kwenye kambi ya timu hiyo wakakwea ndege…
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa kutokana na jinsi kikosi hicho kinavyofanikiwa kupata nafasi nyingi za kufunga mabao, ana uhakika…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vanderboeck ametamba kwamba atawashushia kipigo wapinzani wake Mwadui FC ambao anacheza nao leo Jumamosi kwa kuwa tayari ameshalijua soka…
AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo. Dishi la Risasi Mchanganyiko limenasa skendo mbichi…
MASHABIKI wa Manchester United, juzi waliondoka karibia wote uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Burnley. Wakiwa kwenye Dimba la Old Trafford,…
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya wasichana wa U17, Kilimanjaro Queens, Bakari Shime amesema kuwa watawafunga Burundi kwa mabao mengi katika mchezo…