TOTTENHAM WABISHI KWELI, WAIGOMEA MKWANJA WA INTER MILAN NA KUWAPA MASHARTI MENGINE
UONGOZI wa Tottenham umeigomea timu ya Inter Milan kumpata nyota wake Christian Eriksen ambaye yupo kwenye mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho. Tottenham iliyo…
UONGOZI wa Tottenham umeigomea timu ya Inter Milan kumpata nyota wake Christian Eriksen ambaye yupo kwenye mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho. Tottenham iliyo…
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Januari 15,2020, lipo mtaani
BAADA ya Simba kulipoteza mara ya pili mfululizo Kombe la Mapinduzi kwa kupokea kichapo cha 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar hesabu zao zimebadilika ghafla na…
WAYNE Rooney juzi alionekana akiendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka miwili, kwa kuwa alikuwa amefungiwa kuendesha. Rooney ambaye sasa ni kocha…
KOCHA wa Bandari FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, Bernard Mwalala ameondoka katika klabu hiyo baada ya matokeo mabaya kufuatia kipigo cha mabao 2-1 kutoka…
Wanasimba wenzangu!! Najua maumivu mliyopitia jana na nnafahamu karaha mnazopata toka kwa watani zetu, lakini niwaambie kitu kimoja, hili kwetu ni funzo, ni funzo kwa…
KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa ametenga wiki moja, sawa na saa 168 kwa ajili ya kukitazama kikosi chake na…
WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya, amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara. Kichuya…
Kiwango cha juu cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Issa ‘Banka’ ambacho hivi karibuni alikionyesha katika mchezo dhidi ya Simba, kimeonekana kumtisha Kocha Mkuu wa…
Achana na uwezo mkubwa aliouonyesha starika Muivory Coast, Yikpe Gnaimen, unaambiwa yupo winga Mzambia, Eric Kabamba, huyu ni hatari na tayari benchi la ufundi la…